Chamchela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chamchela (pia: kinyamkera kutokana na imani ya kishirikina) ni upepo mkali unaovuma katika nchi kavu kwa nguvu na kasi ya km 117 kwa saa. Ndiyo sababu huleta madhara kama kubomoa nyumba au kuezua paa, kuharibu miti, kuangusha mazao n.k.

Watu wengi wanadhani ni sawa na kimbunga, kumbe kimbunga ni upepo mkali unaovuma baharini.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chamchela kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.