CfC Stanbic Holdings

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Stanbic Holdings Plc ni kati ya benki kubwa za Kenya.[1] Makao makuu ya Stanbic Holdings yako jijini Nairobi.

Stanbic Holdings lina matawi katika miji yote kuu nchini Kenya. Standard Bank la Afrika Kusini inashika asilimia sitini za hisa.[2]

Ona Pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. CFC, . (28 February 2014). CfC Stanbic Holdings Full Year Results 2013 (PDF). CfC Stanbic Bank Holdings (CFC). Iliwekwa mnamo 23 November 2014.
  2. CFC, . (2012). CfC Stanbic Holdings Limited Annual Report 2011, Page 8 (PDF). CfC Stanbic Holdings Limited. Iliwekwa mnamo 23 November 2014.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

ThreeCoins.svg Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu CfC Stanbic Holdings kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.