Cemal Gürsel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Cemal Gürsel.jpg

Cemal Gürsel (13 Oktoba 1895 - 14 Septemba 1966) alikuwa jenerali wa jeshi la Uturuki ambaye alikuwa Rais wa nne wa Uturuki baada ya mapinduzi.

Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cemal Gürsel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.