Celestine Donkor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Celestine Donkor
Nchi Ghana
Kazi yake Mwanamuziki

Celestine Donkor ni mwanamuziki na mtunzi wa nyimbo za Injili kutokea nchini Ghana. [1] Mnamo Machi 2021, alikuwa miongoni mwa wanawake 30 waliotajwa kuwa na ushawishi zaidi katika muziki na Brunch ya Wanawake ya 3Music Awards.[2] Alianzisha Celestial Praise, tamasha la kila mwaka la muziki wa Injili. [3]

Kazi ya muziki[hariri | hariri chanzo]

Donkor alishirikiana na wanamuziki wengi wa injili, [4] wakiwemo Joe Mettle, Joyce Blessing, Ceccy Twum, Mkhululi Bhebhe, Edem, Philipa Baafi, Funny Face.[5] Ana nyimbo maarufu, [6] zikiwemo "Turning around", "Bigger", "Okronkronhene", "Manim Nguase", "Boobobo". Albamu yake ya hivi karibuni zaidi ya Agbebolo ilimletea tuzo ya Msanii bora wa mwaka katika Tuzo za Kitaifa za Muziki wa Injili. [7] [8]

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Ameolewa na Bw. Donkor na wana mabinti watatu. [9]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Celestine Donkor,". www.ghanaweb.com. Iliwekwa mnamo 2020-02-25. 
  2. "Amaarae, Cina Soul, Gyakie, Adina, Theresa Ayoade, others named in 3Music Awards' Top 30 Women in Music list - MyJoyOnline.com". www.myjoyonline.com (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2021-03-18. 
  3. "3Music Awards organisers name Top 30 Women in Music". Citinewsroom - Comprehensive News in Ghana (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2021-03-18. 
  4. "Celestine Donkor performs at Adom Praiz". www.ghanaweb.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-02-25. 
  5. "Joe Mettle, Celestine Donkor, Lord Kenya Lead Pentecost Gospel Concert". Modern Ghana (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-02-25. 
  6. Shem, Shemcy (2018-08-17). "Top trending Celestine Donkor songs". Yen.com.gh - Ghana news. (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-02-25. 
  7. "Celestine Donkor wins Gospel Artist of the Year at NGMA 2019". Graphic Showbiz Online (kwa en-gb). Iliwekwa mnamo 2020-02-25. 
  8. "Celestine Donkor crowned the overall gospel artist of the year at NGMA19 (Full List)". WorshippersGh (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2020-02-25. 
  9. "Celestine Donkor and her husband renew their wedding vows at Celestial Praiz 2017". www.ghanaweb.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-02-25. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Celestine Donkor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.