Nenda kwa yaliyomo

Catherine Credo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Catherine credo (alizaliwa 2 Agosti 1997) ni mwigizaji wa kike wa Tanzania anayefahamika zaidi kwa kucheza nafasi ya Neema na Hidaya katika filamu za (FATUMA & BAHASHA ) zote zikionyeshwa kwenye mtandao wa Netflix, Bibie katika kipindi cha Tv KOMBOLELA (2021), Frida katika filamu ya FRIDA ( 2022) ,Dorice katika kipindi cha Tv cha SINIA (2022) , Mwahamu katika Filamu fupi ya NIA (2023) filamu iliyoandaliwa na Seko shamte , Kidawa katika filamu ya KIDAWA (2023) inayoonyeshwa kwenye mtandao wa Showmax na katika kipindi cha Tv cha DHOHAR (2024) kama sabina kinachooneshwa kwenye DSTV.

Kwa filamu ya Kiswahili ya Jordan Riber 2018 aliyoshirikishwa kama "Neema" inayoitwa, Hadithi za Kumekucha: Fatuma, pia akiwa na Beatrice Taisamo na Ayoub Bombwe, aliteuliwa na kutunukiwa tuzo ya "Muigizaji bora wa kike" katika kitengo maalum cha Sinema za Swahili. Tamasha la Kimataifa la Filamu la Zanzibar la 2018.[1][2]

Bado mnamo 2018, alishiriki tena katika tamthilia ya lugha ya Kiswahili ya Jordan Riber iliyoitwa, Bahasha, ambayo aliigiza nafasi ya Hidaya. Nyota wengine walioangaziwa ni pamoja na Ayoub Bombwe na Godliver Gordian.[3][4]

Katika Tuzo za 15 za Africa Movie Academy Awards (AMAA-2019), aliteuliwa kuwania tuzo ya mwingizaji bora mwenye umri mdogo katika filamu ya Fatuma,[5] ambayo alishinda Cynthia Dankwa wa Ghana.[6][7]

  1. Cite web |url=https://www.africaleadftf.org/2018/03/07/new-movie-features-africas-everyday-superheroes-women-farmers/ |title=USAID Tanzania Supported Film “Kumekucha: FATUMA” Wins Top Swahili Awards at 2018 Zanzibar Film |publisher=Africa Lead |access-date=November 7, 2020 |archive-date=October 22, 2020 |archive-url=https://web.archive.org/web/20201022021831/https://www.africaleadftf.org/2018/03/07/new-movie-features-africas-everyday-superheroes-women-farmers/ |url-status=dead
  2. Cite web |url=https://www.paff.org/films/#!/film/fatuma |title=Fatuma: Feature | Narrative |publisher=PAFF |access-date=November 7, 2020 |archive-date=November 9, 2021 |archive-url=https://web.archive.org/web/20211109175610/https://www.paff.org/films/#!/film/fatuma |url-status=dead
  3. https://m.imdb.com/title/tt8540608/ |title=Bahasha (2018) |publisher= IMDb |access-date=November 7, 2020.
  4. https://torontoblackfilm.com/movie/bahasha/ |title=BAHASHA |last=Riber |first=Jordan |publisher=Toronto International Black Film Festival |access-date=November 7, 2020.
  5. {{Cite web |url=http://africine.org/analyse/amaa-2019-the-nominees/14762 |title=AMAA 2019, the nominees | The ceremony is scheduled on the 27th of October 2019 in Lagos, Nigeria |last=Dia |first=Thierno Ibrahima |date=September 19, 2019 |publisher=Africine |access-date=November 7, 2020
  6. {{Cite web |url=https://www.pulse.ng/entertainment/movies/amaa-2019-here-are-all-the-winners-at-the-15th-edition-of-award/m1ppsb7 |last=Gbenga |first=Bada |title=AMAA 2019: Here are all the winners at the 15th edition of award |website=Pulse Nigeria |date=October 27, 2019 |access-date=November 7, 2020
  7. {{Cite web |url=http://hotfm.ng/abuja/2019/10/28/amaa-2019-see-full-list-of-winners-at-the-15th-edition-of-movie-award/ Ilihifadhiwa 9 Novemba 2020 kwenye Wayback Machine. |title=AMAA 2019: SEE FULL LIST OF WINNERS AT THE 15TH EDITION OF MOVIE AWARD |publisher=HotFM |access-date=November 9, 2020
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Catherine Credo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.