Ayoub Bombwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ayoub Kondo Bombwe ni mwigizaji wa Tanzania[1] Anajulikana kwa uhusika katika filamu ya Bahasha na Fatuma[2].

Kando na uigizaji, pia ni mwandishi wa filamu za bongo, choreographer na director.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ayoub Bombwe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.