Beatrice Taisamo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Beatrice Taisamo Ni msanii wa kike kutoka nchini Tanzania[1]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 2012 kulikua na kipindi cha televisheni cha dakika thelasini maalumu kwa watanzania kilichoitwa siri ya mtungi ambaye alivaa uhusika kama Tula. wahusika wengine wakiwa ni Godliver Gordian, Yvonne Cherrie. [2][3]

Katika filamu nyingine ya lugha ya Kiswahili ya Jordan Riber iliyotolewa mwaka wa 2018 inayoitwa, Hadithi za Kumekucha: Fatuma, mhusika mkuu, akiigiza nafasi ya "Fatuma". Pia walioigiza ni Cathryn Credo na Ayoub Bombwe

Alikuwa mmoja wa waigizaji wanane wa Kiafrika walioteuliwa kuwania Mwigizaji Bora wa Kike katika kitengo cha Mwigizaji Anayeongoza kwenye hafla ya 2019 AMAA, kwa jukumu lake katika filamu, Fatuma.[4]

Filamu alizoshiriki[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Filamu Uhusika Maelezo Marejeo.
2018 Hadithi za Kumekucha: Fatuma mwigizaji (Fatuma) mwigizaji kiongozi; Filamu ya Drama.
2012 Siri ya Mtungi mwigizaji (Tula) Kipindi kifupi cha televisheni; Drama

Sifa[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Tukio Tuzo Mpokeaji Matokeo
2019 AMAA Mwigizaji bora kiongozi wa kike Binafsi Alipendekezwa

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://web.archive.org/web/20201022021831/https://www.africaleadftf.org/2018/03/07/new-movie-features-africas-everyday-superheroes-women-farmers/
  2. https://search.worldcat.org/title/1019443274/
  3. https://m.imdb.com/title/tt2551356/?ref_=m_ttfc_tt/
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-08. Iliwekwa mnamo 2024-05-04.