Catherine Constantinides

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Catherine Constantinides(alizaliwa mnamo 27 Agosti 1982) ni kiongozi wa fikra wa Afrika Kusini, mwanamazingira aliyebobea katika mabadiliko ya Hali ya hewa,usalama wa chakula na maji,mthibiti wa taka,mjasiriamali wa kijamii, mwanaharakati wa haki za kijamii na mtetezi wa haki za binadamu.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Constantinides alianzisha biashara yake ya kwanza, SA Fusion, biashara ya kijamii, alipokuwa na umri wa miaka 16. Alihusika katika kuanzishwa kwa dhana ya Miss Earth nchini Afrika Kusini na alipewa taji kama mshindi wa kwanza wa Miss Earth Afrika Kusini mnamo mwaka 2003.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]