Carmen Brusca

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Carmen Brusca
binadamu
Jinsiamwanamke Hariri
Nchi ya uraiaArgentina Hariri
Jina halisiCarmen Hariri
Jina la familiaBrusca Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa7 Novemba 1985 Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuBeki Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoArgentina women's national association football team Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Ameshiriki2015 Pan American Games, 2007 FIFA Women's World Cup Hariri

Carmen Brusca (alizaliwa 7 Novemba, 1985) ni mchezaji wa zamani wa Argentina [1], mwanasoka ambaye alicheza kama Beki.

Alikuwa mwanachama wa timu ya taifa ya soka la wanawake Argentina . Alikuwa sehemu ya timu kwenye Kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 2007. Katika ngazi ya klabu alichezea klabu ya Boca Juniors ya nchini Argentina. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Carmen Brusca: una vida atada a la redonda. Jalada kutoka ya awali juu ya 24 June 2018. Iliwekwa mnamo 29 April 2018.
  2. List of Players. FIFA Women's World Cup China 2007. FIFA (2007). Jalada kutoka ya awali juu ya 14 October 2012. Iliwekwa mnamo 2007-09-28.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carmen Brusca kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.