Nenda kwa yaliyomo

Carlo Gaetano Gaisruck

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Carlo Gaetano Gaisruck

Karl Kajetan von Gaisruck (17691846) alikuwa Kardinali wa Austria na Askofu Mkuu wa Milan kuanzia 1816 hadi 1846. Alikuwa pia na cheo cha Graf au Count.[1]

  1. Cazzani, Eugenio (1996). Vescovi e arcivescovi di Milano (kwa Italian). Milano: Massimo. ku. 266–269. ISBN 88-7030-891-X.{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.