Nenda kwa yaliyomo

Carl Oscar Malm

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Carl Oscar Malm, 1864

Carl Oscar Malm, akijulikana pia kama C. O. Malm na Carl Oskar Malm (12 Februari 1826 - 8 Juni 1863) alikuwa mwalimu wa kwanza wa viziwi na mwanzilishi wa shule ya kwanza ya viziwi nchini Ufini, pia ni baba wa lugha ya ishara ya Kifini. [1][2][3]

  1. Sign languages of the world : a comparative handbook. Julie Bakken Jepsen, Goedele De Clerck, Sam Lutalo-Kiingi, William McGregor. Berlin. 2015. ISBN 978-1-61451-822-8. OCLC 915717865. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-03-16. Iliwekwa mnamo 2022-02-03.{{cite book}}: CS1 maint: location missing publisher (link) CS1 maint: others (link)
  2. Naukkarinen, Tiina (2016). "Finnish Museum of the Deaf: Presenting the Life of Carl Oscar Malm (1826–1863)". Sign Language Studies. 17 (1): 111–116. doi:10.1353/sls.2016.0030. ISSN 1533-6263. S2CID 152154293.
  3. Lindberg, Johan. "Malm, Carl Oskar". Uppslagsverket Finland (kwa Kiswidi). Schildts förlags Ab. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-17. Iliwekwa mnamo 2022-02-03.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carl Oscar Malm kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.