Can We Talk
“Can We Talk” | ||
---|---|---|
Single ya Tevin Campbell kutoka katika albamu ya I'm Ready | ||
Imetolewa | September 30, 1993 | |
Muundo | ||
Imerekodiwa | 1992 | |
Aina | ||
Urefu | 4:45 | |
Mtunzi | ||
Mtayarishaji | Babyface |
"Can We Talk" ni wimbo uliorekodiwa na mwimbaji wa muziki wa R&B Tevin Campbell kutoka nchini Marekani. Wimbo huu ulitungwa na kutarishwa na Babyface. Ulikuwa wimbo wa kwanza kutolewa kama singo kutoka katika albamu yake ya pili yenye platinamu maradufu I'm Ready. Wimbo ulishika katika kumi bora mbalimbali na kushika nafasi ya tisa kwa upande wa nyimbo za pop huku ikiwa nafasi ya tisa katika chati za Billboard Hot 100[1] na ikabaki nafasi ya kwanza kwa majuma matatu mfululizo kati chati za US R&B.[2]
Wimbo umeuza nakala 500,000 na kutunukiwa cheti cha dhahabu na Recording Industry Association of America.[3][4] Vilevile wimbo ulipata kuchaguliwa katika kwenye Tuzo za Grammy kwa ajili ya Best Rhythm & Blues Vocal Performance - upande wa wanaume. Baadaye ulichaguliwa na hatimaye kushinda tuzo ya Soul Train Music Award kwa ajili ya Best R&B/Soul Single - Male ("Can We Talk").
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]Singo ya US
- Can We Talk
- Look What We'd Have (If You Were Mine)
CD ya promo ya US
- Can We Talk (Remix Radio Version) 3:53
- Can We Talk (Full Remix) 4:55
- Can We Talk (Let's Talkstramental Mix) 4:26
- Can We Talk (Backward Beats Mix) 4:21
- Can We Talk (Album Radio Edit) 4:21
CD ya Ulaya
- Can We Talk (Edit) 4:21
- Strawberry Letter (Club Mix) 6:28
- Strawberry Letter (LP Version) 4:07
- Strawberry Letter (QD III Mix With Rap) 4:12
Wahusika
[hariri | hariri chanzo]Maelzo yamechukuliwa nyuma ya jalada la CD.[5]
- Tevin Campbell : mwimbaji mkuu na sauti za nyuma
- Babyface : mtunzi, mtunzi wa ala zote, mtayarishaji, muziki wote na sauti za nyuma
- Daryl Simmons : mtunzi, mtunzi wa ala zote na mtayarishaji
- Randy Walker : Fundi wa MIDI
- Jim Zumpano, Donnell Sullivan : wahandisi wa rekodi
- Rail Rogut, Steve Warner, Ulrich Wild : wahandishi wasaidizi
- Dave Way : mhandisi wa kuchanganya
- Ivy Skoff : mratibu wa uzalishaji
Chati
[hariri | hariri chanzo]
Chati za kila wiki[hariri | hariri chanzo]
|
Chati za mwisho wa mwaka[hariri | hariri chanzo]
|
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] www.billboard.com Chart History] (website has changed layout, link needs updating)
- ↑ Whitburn, Joel (2004). Top R&B/Hip-Hop Singles: 1942-2004. Record Research. uk. 99.
- ↑ "Best-Selling Records of 1993". Billboard. 106 (3). BPI Communications: 73. Januari 15, 1994. ISSN 0006-2510. Iliwekwa mnamo Mei 4, 2015.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Kigezo:Cite certification
- ↑ Tevin Campbell - I'm Ready (CD liner notes) - Qwest/Warner Bros 9362-45388-2
- ↑ "Australian-charts.com – Tevin Campbell – Can We Talk". ARIA Top 50 Singles. Hung Medien.
- ↑ "Charts.org.nz – Tevin Campbell – Can We Talk". Top 40 Singles. Hung Medien.
- ↑ "Billboard Top 100 - 1994". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-03-01. Iliwekwa mnamo 2010-08-27.