César Montes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

César Jasib Montes Castro (alizaliwa 24 Februari 1997) ni mchezaji wa soka wa Mexiko ambaye anacheza kama mlinzi wa Liga MX klabu ya Monterrey.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu César Montes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.