Cédric Bakambu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Cédric Bakambu

Cédric Bakambu(alizaliwa 11 Aprili 1991) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza katika klabu ya China iitwayo Beijing Guoan.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Alicheza kwa mara ya kwanza katika klabu ya Sochaux mwaka 2010, na alicheza mechi 107 rasmi kwa misimu wa tano, akifunga magoli 21. Kisha alihamia katika klabu ya Bursaspor kwa € 1.8 milioni,katika ligi hiyo aliamliza kama mfungaji bora katika timu yake na badae kusaini katika klabu ya Villarreal mwaka mmoja .

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa nchini Ufaransa, aliwakilisha nchikatika mashindano ya chini ya miak 20, akiwa na magoli 8 katika mechi 38 na kushinda michuano ya Ulaya ya UEFA ya 2010 kwa mashindano ya chini ya miaka 19. Mwaka 2015, alicheza kwa mara ya kwanza katika timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na asili ya wazazi wake huko kongo.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cédric Bakambu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.