Nenda kwa yaliyomo

Bustani ya Chandrashekhar Azad

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mnara wa kumbukumbu wa Chandrashekhar Azad.

Bustani ya Chandrashekhar Azad ni bustani iliyokuwa ikijulikana kama Alfred park wakati ilipoanzishwa mwaka 1870 katika eneo la Allahabad nchini India ikiwa na ukubwa wa ekari 133 na hivyo kuwa bustani kubwa zaidi katika Allahabad.

Bustani hiyo ilibadilishiwa jina na kupewa lile la Chandrashekhar Azad ili kumuenzi mwanaharakati huyo aliyejitolea maisha yake ili kutetea uhuru wa India mwaka 1931.[1][2]

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Jonathan M. Bloom, Sheila Blai (2009). The Grove Encyclopedia of Islamic Art and Architecture, Volume 3. Oxford University Press. uk. 57. ISBN 8125013830.
  2. "Alfred Park, Allahabad". nativeplanet.com. Iliwekwa mnamo 13 Septemba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bustani ya Chandrashekhar Azad kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.