Bungo (mdudu)
Mandhari
Bungo | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Bungo wa unga (Tenebrio molitor)
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Oda za chini 4: |
Bungo ni jina linalotumika kwa kawaida kwa mbawakawa wakubwa wa oda za chini Staphyliniformia, Scarabaeiformia na Elateriformia na familia za juu Tenebrionoidea na Chrysomeloidea za oda ya chini Cucujiformia, zote katika oda Coleoptera. Ili iwe rahisi inapendekezwa kuziita spishi ndogo zaidi za vikundi hivi bungo pia. Mifanano ya familia za bungo ni bungo mbawa-nusu, bungo walangozi, bungo maridadi, bungo-fyatuo, bungo-mavi, bungo wapenda-giza na bungo-lengelenge.
Spishi zilizochaguliwa za Afrika ya Mashariki
[hariri | hariri chanzo]Staphyliniformia
- Paederus sabaeus
- Teretrius nigrescens
Scarabaeiformia
- Homoderus gladiator
- Scarabaeus catenatus
Elateriformia
- Cardiophorus samburensis
- Euphemus funerarius
Tenebrionoidea
- Tenebrio giganteus
- Tribolium castaneum
Chrysomeloidea
- Conchyloctenia punctata
- Pachnoda ephippiata
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Paederus littoralis (inafanana na nzi wa Nairobi)
-
Teretrius nigrescens (kidusia wa dumuzi mkubwa)
-
Homoderus mellyi
-
Scarabaeus catenatus
-
Cardiophorus ruficollis
-
Tenebrio giganteus
-
Tribolium castaneum (bungo mwekundu wa unga)
-
Conchyloctenia punctata
-
Pachnoda ephippiata