Buguruka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Buguruka ni kijiji kilicho kando ya ziwa Viktoria katika kata ya Kanyangereko, Mkoa wa Kagera, Tanzania Kaskazini.