Buffalo Souljah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thabani Ndlovu
Amezaliwa 16 Septemba 1983 (1983-09-16) (umri 40)
Bulawayo, Zimbabwe
Nchi Zimbabwe
Majina mengine Buffalo Souljah
Kazi yake Mwanamuziki


Mwanamuziki Buffalo Souljah

Buffalo Souljah,(Thabani Ndlovu) ni msanii na mtunzi wa muziki wa reggae wa nchini Zimbabwe mwenye makazi yake nchini Afrika Kusini. Alipata jumla ya ushindi mara 10 kwenye tuzo mbalimabli kama vile Video za Muziki za Channel ya O Afrika, Tuzo za Muziki za Soundcity, pamoja na Tuzo za Zimdancehall. Anamiliki lebo ya muziki ya UNA (United Nations of Africa Music Group).[1][2][3][4][5][6][7]

Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa mwaka 1980 huko Bulawayo, Thabani Ndhlovu ni mtoto wa tatu kuzaliwa katika familia ya watoto wanne.Alihamia Harare ambako alilelewa katika kitongoji cha Mufakose. Alisomea Shule ya upili ya Mufakose kisha akahamia Afrika Kusini mara baada ya kuhitimu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Buffalo Souljah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.