Bruno-Nazaire Kongaouin
Mandhari
Bruno-Nazaire Kongaouin (alizaliwa 12 oktoba, 1966) ni raia wa Jamhuri ya Afrika ya kati na mchezaji wa mpira wa kikapu msitahafu. Alizaliwa Bangui, alicheza mpira wa kikapu katika chuo kikuu cha Houston Baptist Huskies kuanzia 1983 hadi 1987 pia aliteuliwa mara mbili katika All-Trans America Athletic Conference (TAAC) kipindi cha miaka miwili ya mwishoni.
[1] Kongawoin alishiriki katika Olimpiki mwaka 1988 na timu yake taifa ya mpira wa vikapu ya Jamhuri ya Afrika ya Kati. Kufuatia michezo hiyo, aliachiliwa na Milwaukee Bucks inayo shiriki NBA (National Basketball Association) katika msimu wa 1988-89. Hapo awali alitolewa na Bucks msimu wa 1987-88 wa NBA.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bruno Kongawoin (2016) - Hall of Honor". Houston Baptist University Athletics (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-09-02.
- ↑ "Milwaukee Bucks first-round draft choice Jeff Grayer was hospitalized..." UPI (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-09-02.