Bangui
Mandhari
| Jiji la Bangui | |
| Nchi | Jamhuri ya Afrika ya Kati |
|---|---|
| Mkoa | Bangui Autonomous Commune |



Bangui ni mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati. Mji uko mwambaoni mwa mto Ubangi; ng'ambo ya mto uko mji wa Zongo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Una wakazi 531,763[1]
Kuna viwanda vya nguo, vyakula, bira, viatu na sabuni. BiAshara ya nje inalenga wateja wa pamba, ubao, kahawa na katani.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi ya Chuo Kikuu cha Bangui Ilihifadhiwa 16 Februari 2012 kwenye Wayback Machine. (Kifaransa)
| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bangui kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
