Brenda Msangi
Mandhari
Brenda Msangi | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Kazi yake | Mhudumu wa afya |
Brenda Msangi ni mhudumu wa afya mwenye uzoefu wa utendaji kazi kwa miaka zaidi ya kumi na tatu.[1]
Kwa sasa ni afisa mwendeshaji wa hospitali ya CCBRT jijini Dar es Salaam[2].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Brenda Msangi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |