Nenda kwa yaliyomo

Bradley Barcola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bradley Barcola (alizaliwa 2 Septemba 2002)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambaye anacheza kama winga au mshambuliaji katika klabu ya Paris Saint-Germain F.C. inayoshiriki Ligue 1 ya Ufaransa na timu ya taifa ya Ufaransa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Bradley Barcola". EN.PSG.FR (kwa Kiingereza). 2002-09-02. Iliwekwa mnamo 2024-06-19.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bradley Barcola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.