Bonnah Moses Kaluwa
Mandhari
Bonnah Moses Kaluwa (amezaliwa 29 Desemba 1978 ; anatumia sasa jina la Bonnah Ladislaus Kamoli[1]) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Segerea kwa miaka 2015 – 2020. [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Katika tovuti ya bunge la Tanzania alitajwa kama Bonnah Moses Kaluwa; kwenye ukurasa wake wa facebook anatumia jina la Bonnah Kamoli https://www.facebook.com/bonnahkamoli/; kwenye tovuti hiyohiyo kuna pia rejeo kwenda tovuti ya http://www.bonnahkaluwa.or.tz Archived 3 Machi 2018 at the Wayback Machine..
- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |