Nenda kwa yaliyomo

Bonnah Moses Kaluwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bonnah Moses Kaluwa (amezaliwa 29 Desemba 1978 ; anatumia sasa jina la Bonnah Ladislaus Kamoli[1]) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Segerea kwa miaka 20152020. [2]

  1. Katika tovuti ya bunge la Tanzania alitajwa kama Bonnah Moses Kaluwa; kwenye ukurasa wake wa facebook anatumia jina la Bonnah Kamoli https://www.facebook.com/bonnahkamoli/; kwenye tovuti hiyohiyo kuna pia rejeo kwenda tovuti ya http://www.bonnahkaluwa.or.tz Ilihifadhiwa 3 Machi 2018 kwenye Wayback Machine..
  2. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017