Bonita
Mandhari
Bonita (aliishi Brioude, Aquitaine, leo nchini Ufaransa, karne ya 10) alikuwa msichana Mfaransa.
Tangu kale anayeheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu bikira[1].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Oktoba[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |