Bond Bin Suleiman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Bond Bin Suleiman
Amezaliwa Abdallah Suleiman Bin Sinnan
1983
Bugando, Mwanza
Jina lingine Bond
Kazi yake Mwongozaji
Mtayarishaji
Mwigizaji
Mtunzi wa hadithi
Mtangazaji

'Abdallah Suleiman Bin Sinnan (maarufu kama Bond Bin Suleiman kazaliwa mnamo 1983, Bugando, Mwanza) ni mwongozaji, mtunzi wa filamu, mtangazaji, mwigizaji na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Bond vilevile husimama kama mchambuzi wa masuala ya filamu za Tanzania. Baadhi ya filamu alichocheza ni pamoja na Lost Souls (2010), Glamour (2011). Bond alianza kujihusisha na kazi za sanaa mwaka 1999. Awali alikuwa mwimbaji kabla ya kujihusisha na uigizaji. Mambo ya usanii ni juhudi zake binafsi tu kwa kutumia njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na mitandao.[1]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Bond Bin Suleiman katika Blogu ya Bongo Film Datebase.