Boma la Edinburgh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Boma la Edinburgh

Boma la Edinburgh ni boma kubwa katikati ya mji mkuu wa Uskoti. Liko kwenye kilima cha mwamba ambako kutoka kwake laonekana vizuri kutoka pande zote.

Boma la kwanza lilijengwa Edinburgh katika karne ya 6 au 7. Jengo la kale linalosimama hadi leo ni kanisa la Mt. Margareta kutoka karne ya 11.

Hazina ya kumbukumbu ya kitaifa ya Uskoti inatunzwa bomani kama vile Jiwe la Scone na taji la Uskoti.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Boma la Edinburgh kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.