Bolojo
Mandhari
Bolojo | |
Nchi | nigeria Jimbo la Ogun |
---|---|
Kazi yake | mwanamziki wa nyimbo za asili |
Bolojo ni mwana mziki wa ngoma za asili wa kiafrika na mtindo wa muziki maarufu katika ya koo ya Yewa huko Yoruba iliyoko katika mikoa ya magharibi ya Jimbo la Ogun, Nigeria[1] na vikundi vingine vidogo vya Kiyoruba vilivyounganishwa kwa karibu katika Idara ya karibu ya Plateau ya Benin.
Inaangaziwa zaidi katika sikukuu, sherehe na maonyesho ya Gelede.
Mwimbaji Zeynab Habib wa Benin pia anajulikana kwa burudani yake ya dansi za Bolojo.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |