Bokungu
Mandhari
Bokungu | |
Majiranukta: 0°36′44″S 22°18′45″E / 0.61222°S 22.31250°E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Mkoa | Tshuapa |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 8,156 (mwaka 2,012) |
Bokungu ni mji mkuu wa jimbo la Tshuapa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.[1] Iko katika ukingo wa kulia wa mto Tshuapa, kilomita 256 mashariki mwa mji mkuu wa jimbo Boende.
Angalia pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Geonames, 218479 : Bokungu
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bokungu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |