Boison Wynney

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Boison Wynney
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaHispania, Liberia Hariri
Nchi anayoitumikiaLiberia Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa27 Desemba 1996 Hariri
Mahali alipozaliwaPalma Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timugoalkeeper Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoCSM Ceahlăul Piatra Neamț Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri

Boison Wynney de Souza (alizaliwa 27 Desemba 1996 anayejulikana kama Boison Wynney ) ni mchezaji wa soka wa Liberia ambaye anacheza katika klabu ya Hispania iitwayo RCD Mallorca B kama kipa.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Boison alizaliwa huko Palma, Majorca ambapo anaishi baba yake Liberia na mama yake anaishi Brazil. Kwa hiyo alikuwa na haki ya kuwakilisha Liberia au Brazil. Alipokea muito kwa mara yake ya kwanza kuchezea Timu ya taifa ya Liberia mnamo 2 Novemba 2016. Alicheza kwa mara ya kwanza timu yake ya taifa lakini wlifungwa 3 kwa 0 dhidi ya Zimbabwe kwa ajiliya kufuzu ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2019 .

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Boison Wynney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.