Black Sheep

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Black Sheep
Dres (left) & Mista Lawnge (right)
Dres (left) & Mista Lawnge (right)
Maelezo ya awali
Asili yake Queens/Brooklyn, New York, Marekani
Miaka ya kazi 1989–1995
2000–
Studio Mercury/PolyGram/Universal
Ame/Wameshirikiana na Showbiz and A.G.
Chi Ali
Native Tongues
The Legion
Wanachama wa sasa
Dres
Mista Lawnge


Black Sheep ni kundi la hip hop linalounganishwa na wasanii wawili kutoka mjini Queens, New York. Ndani yake anakuja Andres "Dres" Titus na William "Mista Lawnge" McLean. Wawili hawa wanatokea mjini New York, lakini walikutana wakati wakiwa vijana huko mjini North Carolina, ambapo familia zao zilihamia huko.[1]

Kundi lilikuwa na uhusiano na Native Tongues, ambamo wakiwa pamoja na Jungle Brothers, A Tribe Called Quest, na De La Soul. Baada ya kuwa pamoja kunako 1989, Black Sheep wakatoa albamu yao ya kwanza mnamo 1991 wakiwa na kibao chao kikali cha "Flavor of the Month" na baadaye kutoa albamu ya kwanza ya A Wolf in Sheep's Clothing, ambapo iliwapatia sifa na umaarufu wa kina katika jumuia nzima ya hip-hop kwa mashairi na albamu yao isio na kifani.

Baada ya miaka sita ya kuwa pamoja, Black Sheep wakatengana mnamo 1995, lakini wakaamua kuungana tena baada ya miaka 5.

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Albums[hariri | hariri chanzo]

Maelezo ya Albamu
A Wolf in Sheep's Clothing
  • Imetoka: 22 Oktoba 1991
  • RIAA Certification: Gold
  • Nafasi za chati za Billboard 200: #30
  • Nafasi za chati za R&B/Hip-Hop: #15
  • Singles: "Flavor of the Month"/"Butt...In the Meantime", "The Choice Is Yours (Revisited)"/"The Choice Is Yours"/"Have U.N.E. Pull"/"Yes", "Strobelite Honey"/"Gimme the Finga", "Similak Child"
Non-Fiction
  • Imetolewa: 6 Desemba 1994
  • Nafasi za chati za Billboard 200: #107
  • Nafasi za chati R&B/Hip-Hop: #24
  • Single: "Without a Doubt"/"We Boys", "North South East West"
8WM/Novakane (Dres Solo Project)
  • Imetolewa: 23 Oktoba 2006
  • Nafasi za chati za Billboard 200:
  • Nafasi za chati R&B/Hip-Hop:
  • Single: "Whodat?"
From The Black Pool of Genius (Dres Solo Album)
  • Imetolewa: 2010
  • Singles: "Birds of a Feather", "Party Tonight", "Come Back Home"

Single na EP[hariri | hariri chanzo]

  • "Flavor of the Month" (1991)
  • "The Choice Is Yours (Revisited)" (1991)
    • imerudiwa na wasanii kibao akiwa pamoja na Trik Turner, Bloodhoud Gang, na kina Deftones
    • (Imetumika katika kazi ya 2010 Kia Soul "Rapping Hamsters")
  • "Strobelite Honey" (1992)
  • "Similak Child" (1992)
  • "Without A Doubt" (1994)
  • "North South East West" (1995)
  • Redlight, Greenlight (EP) (-merekodiwa 2000, Imetolewa 2002)

Video zake[hariri | hariri chanzo]

  • Black Sheep - Flavor of the Month (1991)
  • Black Sheep - The Choice Is Yours (1991)
  • Black Sheep - Strobelite Honey (1992)
  • Vanessa Williams akiwa na Black Sheep - Work to Do (Remix) (1992)
  • Showbiz & A.G ft. Black Sheep - Bounce Ta This (1992)
  • Black Sheep - Similak Child (1992)
  • The Legion akiwa na Dres - Jingle Jangle (1993)
  • Black Sheep - Without a Doubt (1994)
  • Black sheep - Work to DO

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Bush, John. [Black Sheep katika Allmusic Black Sheep: Biography]. allmusic. Iliwekwa mnamo 2009-08-03.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]