Bizari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bizari (kwa Kiingereza: "dill") ni mbegu zinazotumika kama kiungo (bizari nzima, bizari nyembamba) pamoja na hiriki, jira n.k. katika upishi, hasa wa pilau.

Ilitajwa na Yesu (Math 23) kati ya vitu vidogo ambavyo walimu wa sheria na Mafarisayo walivilipia zaka kwa kusahau mambo muhimu zaidi kama kutenda kwa haki na huruma.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bizari kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.