Bitoto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa matumizi tofauti ya jina hilo angalia Bitoto (Sengerema)

Bitoto
Bitoto Cover
Studio album ya Pepe Kalle
Imetolewa 1985
Imerekodiwa 1982-1985
Aina Soukous
Lebo ASL
Wendo wa albamu za Pepe Kalle
"Et L'Empire Bakuba – Untitled"
(1982)
"Bitoto"
(1985)
"Soucis Ya Likinga"
(1986)


"Bitoto" ni albamu iliyotoka mwaka 1985 kutoka kwa msanii wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Pepe Kalle. Albamu ina nyimbo nne tu. Na imetoka katika muundo wa Vinyl, LP.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Zifuatazo ni orodha kamili ya nyimbo zinazopatikana katika albamu hii.

  1. Bitoto
  2. Mbata Na Mokongo
  3. Article 15 Beta Libanga
  4. Fungola Ngai

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

  • Bitoto katika wavuti ya Discogs.