Nenda kwa yaliyomo

Billie Zangewa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Billie Zangewa
Jina la kuzaliwa Billie
Nchi Malawi

Billie Zangewa (alizaliwa Blantyre, Malawi, 1973) ni mwanasanaa ambaye ana asili ya watu wa Malawi na Afrika Kusini. Anaishi katika mji wa Johannesburg.

Tangu mwaka 2004, kazi yake ya sanaa ilishirikishwa katika maonyesho ya kimataifa, ikiwemo Paris Art Fair katika Grand Palais katika jiji la Paris.[1]

Alihitimu katika Sanaa ya uchoraji kutoka chuo kikuu cha Rhodes, Afrika Kusini. Mama yake alifanya kazi katika kiwanda cha kutengeneza nguo. Katika mafunzo yake ya Sanaa, alijaribu muonekano tofauti tofauti, lakini mwishoni  alipenda kazi yake ya Uhariri, yote ni kwasababu ya mapenzi ya kitambaa. Alionesha kuwa hariri ni imara Zaidi kuakisi lakini vile vile, nafikiri ni ya kisasa Zaidi. [1]

Anafanya kazi katika mji wa Gaborone, nchini Botswana, halafu Johannesburg lakini pia katika jiji la London, alifikiria kutafisiri muonekano wa kike katika mazingira yake ya mjini. Aliongelea kuhusu mapenzi yake katika mpiga picha wa mitindo. Kazi yake imepelekea kutengeneza mikoba ya mikononi, kwa kutumia madhari aliyoona katika mji wa Johannesburg. Pia alitengeneza kazi ya sanaa yenye mjumuisho wa kitambaa, maandishi na pichats. [2][3]

  1. 1.0 1.1 www.lesideesnet.com, Les Idées Net -. "African Success : Biographie de Billie ZANGEWA". www.africansuccess.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 Aprili 2017. Iliwekwa mnamo 20 Novemba 2017. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Staff Reporter. "The Creative Showcase: Exploring the female gaze by Billie Zangewa", The M&G Online. (en) 
  3. "Artist Billie Zangewa: feminity, motherhood & art | TRUE Africa", TRUE Africa, 19 November 2015. (en-US)