Bi Yan
Mandhari
Bi Yan
Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Jamhuri ya Watu wa China |
Jina halisi | Yan |
Tarehe ya kuzaliwa | 17 Februari 1984 |
Mahali alipozaliwa | Dalian |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Kiungo |
Mwanachama wa timu ya michezo | China women's national football team, Dalian Shide F.C. |
Mchezo | mpira wa miguu |
Ameshiriki | 2008 Summer Olympics, 2004 Summer Olympics, 2007 FIFA Women's World Cup |
Bi Yan (alizaliwa 17 Februari, 1984) ni mwanasoka wa nchini China ambaye alicheza kama kiungo wa kati [1] na kushiriki katika michezo ya Olimpiki ya mwaka 2004.
Mnamo 2004, alimaliza katika nafasi ya tisa na timu yake ya China kwenye mashindano ya wanawake. Na alicheza mechi zote mbili.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bi Yan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |