Bhisho
Mandhari
Bhisho | |
Mahali pa mji wa Bhisho katika Afrika Kusini |
|
Majiranukta: 32°50′58″S 27°26′17″E / 32.84944°S 27.43806°E | |
Nchi | Afrika Kusini |
---|---|
Majimbo | Rasi ya Mashariki |
Wilaya | |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 137 287 |
Tovuti: www.buffalocity.gov.za |
Bhisho (nyati kwa Kixhosa; pia: Bisho) ni mji mdogo wa Afrika Kusini ambao ni mji mkuu wa jimbo la Rasi ya Mashariki. Ilikuwa mji mkuu wa bantustan ya Ciskei hadi 1994.
Bhisho ilianzishwa kama mtaa wa makazi kwa ajili ya Waafrika Weusi kando la mji wa King William's Town uliohifadhiwa kwa wazungu tu wakati wa siasa ya ubaguzi wa rangi (Apartheid). 1994 miji yote miwili iliunganishwa.
Tangu 2000 maeneo kando la East London yaliungaishwa kuwa manisipaa ya Buffalo yenye wakazi 701,873. Bhisho una wakazi wapatao 138,000 wanaoishi katika mji huu. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bhisho kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |