Bhisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Eneo la Makumbusho katika Mji wa


Bhisho

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Afrika Kusini" does not exist.Mahali pa mji wa Bhisho katika Afrika Kusini

Majiranukta: 32°50′58″S 27°26′17″E / 32.84944°S 27.43806°E / -32.84944; 27.43806
Nchi Afrika Kusini
Majimbo Rasi ya Mashariki
Wilaya
Idadi ya wakazi
 - 137 287
Tovuti: www.buffalocity.gov.za
Mahali pa Bhisho (Wilaya wa Amatole) katika Afrika Kusini

Bhisho (nyati kwa Kixhosa; pia: Bisho) ni mji mdogo wa Afrika Kusini ambao ni mji mkuu wa jimbo la Rasi ya Mashariki. Ilikuwa mji mkuu wa bantustan ya Ciskei hadi 1994.

Bhisho ilianzishwa kama mtaa wa makazi kwa ajili ya Waafrika Weusi kando la mji wa King William's Town uliohifadhiwa kwa wazungu tu wakati wa siasa ya ubaguzi wa rangi (Apartheid). 1994 miji yote miwili iliunganishwa.

Tangu 2000 maeneo kando la East London yaliungaishwa kuwa manisipaa ya Buffalo yenye wakazi 701,873. Bhisho una wakazi wapatao 138,000 wanaoishi katika mji huu. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

SouthAfricanStub.png Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bhisho kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: