Beno Kakolanya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Beno Kakolanya (amezaliwa katika jiji la Mbeya 8 Julai 1993) ni mchezaji wa kandanda ambaye anacheza nafasi ya golikipa katika timu maarufu katika nchi ya Tanzania ambayo ni Simba Sports Club.

Alisajiliwa kuitumikia Klabu hiyo kwa mkataba wa miaka 2 akiwa kama mchezaji huru baada ya kuondoka katika klabu ya Yanga SC kutokana na kutopata malipo yake. Kwa sasa anaitumikia klabu ya Simba, akiwa mlinda mlango namba mbili nyuma ya Aishi Manula.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Beno Kakolanya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.