Benki ya Biashara ya Akiba
Mandhari
Benki ya Biashara ya Akiba ni benki ya biashara iliyopo Tanzania.
Benki hii imepatiwa leseni na Benki kuu ya Tanzania iliyo na mamlaka ya kuthibiti shughuli za kibenki Tanzania.[1]
Eneo
[hariri | hariri chanzo]Makao makuu ya Benki ya Biashara ya Akiba yanapatikana katika jiji la Dar es Salaam.[2]
Umiliki
[hariri | hariri chanzo]Benki ya Biashara ya Akiba inamilikiwa na watu binafsi pamoja na mashirika ya biashara yafuatayo, kufikia tarehe 31 Desemba 2016.[3]
Wamiliki wa Benki ya Biashara ya Akiba | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
|