Benedict Akwuegbu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Benedict Akwuegbu (alizaliwa 3 Novemba 1974) ni mshambuliaji wa kandanda wa Nigeria aliyestaafu. Benedict Alichezea timu ya taifa ya kandanda ya Nigeria akiwa mshiriki wa Kombe la Dunia la FIFA la 2002.

Ushiriki Katika Klabu[hariri | hariri chanzo]

Akwuegbu alianza uchezaji wake akiwa na umri wa miaka 15 nchini Nigeria kabla ya kuhamia klabu ya Ufaransa RC Lens akiwa na umri wa miaka 17. [1]

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Akwuegbu alichaguliwa katika kikosi cha U-16 cha Fainali ya Kombe la Dunia mwaka wa 1989 kilichoandaliwa na Scotland. [2]

Heshima[hariri | hariri chanzo]

Grazer AK

  • Bundesliga ya Soka ya Austria: 2003-04, mshindi wa pili 2002-03
  • Kombe la Austria: 2000, 2002
  • Supercup ya Austria': 2000, 2002

Kimataifa

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Benedict Akwuegbu". National-Football-Teams.com. Iliwekwa mnamo 17 June 2008.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Scotland 1989: Saudi Arabia steal the show". FIFA. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 June 2008. Iliwekwa mnamo 17 June 2008.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benedict Akwuegbu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.