Nenda kwa yaliyomo

Bellinzona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bellinzona ni mji uliopo nchini Uswisi katika jimbo la Ticino.

Mnamo Januari 2019 ulikuwa na wakazi 43,000 [1].

Ngome zake tatu zimeorodheshwa na UNESCO kama Urithi wa Dunia.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Lebensqualität in den Städten und Agglomerationen (Agglo 2012): Demographischer Kontext". www.pxweb.bfs.admin.ch/ (Statistics). Federal Statistical Office, Neuchâtel, Swiss Federal Administration. 2019. Retrieved 22 January 2020.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswisi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bellinzona kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.