Beatus Kinyaiya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Beatus Kinyaiya, O.F.M.Cap. (amezaliwa 9 Mei 1957) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Kardinali Polycarp Pengo mwaka 2006. Tangu mwaka huo alikuwa askofu wa Jimbo la Mbulu hadi 2014 alipohamishiwa Jimbo Kuu la Dodoma kama askofu mkuu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Beatus Kinyaiya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.