Nenda kwa yaliyomo

Beatrice Tomasson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Beatrice Tomasson

Beatrice Tomasson (25 Aprili 185913 Februari 1947) alikuwa mpandaji milima kutoka Uingereza.

Alifanya safari nyingi za kupanda milima ya Dolomiti na alifanikiwa kuwa mtu wa kwanza kupanda upande wa kusini wa Marmolada mwaka 1901.[1]

  1. Reisach, Hermann (2001). "Beatrice Tomasson and the South Face of the Marmolada" (PDF). Alpine Journal: 105–113. Iliwekwa mnamo 8 Aprili 2014.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Beatrice Tomasson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.