Nenda kwa yaliyomo

Bea Alonzo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bea Alonzo
Jina la kuzaliwa Phylbert Angellie Ranollo Fagestrom
Alizaliwa 17 Oktoba 1987
Jina lingine Bea Alonzo
Kazi yake Mwigizaji
Tovuti Rasmi ya Bea Alonzo

Bea Alonzo (jina halisi: Phylbert Angellie Ranollo Fagestrom) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Ufilipino. Alizaliwa mnamo tar. 17 Oktoba 1987. Baba yake ni Mwingereza, wakati mama yake ni Mfilipino. Yeye ni mmoja kati ya washirika wa ABS-CBN wenye vipaji na wanochipukia na wanaojulikana kama Star Magic katika mfululizo mzima wa vipindi vya televisheni vya Kifilipono.

Maisha Yake

[hariri | hariri chanzo]

Akichipukia

[hariri | hariri chanzo]

Bea Alonzo kama wasanii wengine, ndoto yaje ilikuwa ni kuwa msanii maarufu na mwenye mafanikio lukuki. Aliishi bila ya baba tangu ana miaka minne tu. Alijiunga katika mashindano ya urembo katika umri mdogo mno na alifanikiwa kwa kiasi katika jaribio hili. Katika mashindano ya urembo katika mji mdogo, mratibu wa masuala ya mitindo Oscar Peralta ndiye aligundua kipaji cha Bea. Baadae alimtambulisha kwa kiongozi wa ABS-CBN sekta ya vipaji Johnny Manahan aliyemtambulisha Bea kwenye Star Circle Batch 10. Hapo alipata mafunzo, ujuzi na uwezo mkubwa wa kuigiza ambao ulimsaidia baadae katika maigizo / vichekesho vya "K2BU".

Mafanikio

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 2004, akiwa na miaka 15, Bea alicheza nafasi ya mwanasheria wa miaka 20 kama Katrina Argos katika tamthilia ya "Kay Tagaal Kang Hinintay". Nafasi iliyompatia tuzo yake ya kwanza ya muigizaji bora wa kike mwaka 2003 katika tuzo za PMPC Star Awards. Yeye alikuwa msanii mdogo kuzidi heshima aliyopata katika tuzo hiyo.

Kay Tagaal Kang Hinintay iliwaandalia John Lloyd na Bea timu ya wapenzi. Baada ya kufanikiwa katika tamthilia za "It Might Be You", "Ikaw Ang Lahat Sa Akin" na hii ya sasa "Maging Sino Ka Man" na filamu zao bora zaidi kama "My First Romance" (ambapo Bea alitangazwa kuwa "Muigizaji wa Bora wa Kike Mpya katika mudani ya Filamu" mwaka 2004 PMPC Star Awards [1]), "Now That I have You", "Close To You (film)" na hii ya "All About Love", walijulikana kama Timu Bora zaidi ya Mapenzi katika Nchi nzima.Baada ya"All About Love", kazi nyingine bora ya Filamu aliyofanya Bea ni "Pacifica Falapay".

Filamu Alizoigiza

[hariri | hariri chanzo]

One More Chance (2007) kama Basya

All About Love (2006) kama Lia

Pacquiao, The Movie (2006) kama Jinkee Pacquiao

Close to You (2006) kama Marian

Dreamboy (2005) kama Cyd

Now That I Have You (2004) kama Betsy Rallos

My First Romance (2004) kama Bianca

Tamthilia Alizoigiza na Alizoshirikishwa

[hariri | hariri chanzo]

ASAP (2007) kama Mshiriki Aliyekaribishwa

Maging Sino Ka Man Book 2 (2008) kama Jacqueline Madrigal Roxas

Maalaala Mo Kaya ("Barko" 2007) kama Camille

Wowowee (2007) kama Bea Alonzo (kashirikishwa)

Maging Sino Ka Man (2006-2007) kama Jackie Madrigal

Ikaw Ang Lahat Sa Akin (2005) kama Jasmin Cruz Fontanilla

It Might Be You (2003-2004) kama Cielo San Carlos

Kay Tagaal Kang Hinintay (2002-2003) kama Katrina Argos

K2BU (2002) kama Dianne

John N Shirley (2006) kama Bea

Komiks ("Pedro Penduko" 2006) kama Carmela

Your Song ("Ok Lang" 2006) kama Sandy

Star Magic Presents ("Miss ... Mistress" 2006) kama Monica

Maalaala Mo Kaya ("Palaisdaan" 2006) kama Meya Lina Bagasina

Komiks ("Bampy" 2006) kama Mkuu Wa Shule

Maalaala Mo Kaya ("Roses" 2006) kama Heny

Your Song ("You Win The Game" 2006) kama Marnie

Komiks ("Sa Mga Kamay Ni Hilda" 2006) kama Hilda

Bora (2006) kama Tuesday

Bora (2005) kama Tuesday

Bida si Mister, Bida si Misis (2004)

OK Fine Whatever (2004) kama Dr. Donna

Bida si Mister, Bida si Misis (2003) kama Katrina Legarda

Whattamen ("Disco Kids" 2003") kama Caramel

Maalaala Mo Kaya ("Lapis" 2003) kama Carol

Arriba! Arriba! (2003) kama Belinda

Wansapanataym ("Magic Salamin" 2003) kama Winnie

Star Studio ("Suyuan sa Lalawigan" 2003) kama Lucia

Star Studio ("Magnanakaw" 2002) kama Msichana Tajiri

2007 USTV Students Choice Awards, Muigizaji bora wa kike katika Maging Sino Ka Man

2006 Yes Magazine Awards, Timu ya Wapenzi Maarufu Zaidi pamoja na John Lloyd Cruz

2006 Yes Magazine Awards, Nyota Mdogo wa Kike

2006 ANAK TV Seal Award, Miongoni Mwa Wasichana 10 Binafsi Wenye Mvuto zaidi

2005 Miss FAMAS Screen Idol, FAMAS

2004 Princess of RP Movies for “Now That I Have You", Guillermo Mendoza

2004 Mugizaji mpya Bora wa kike katika filamu ya “My First Romance", Star Awards for Movies

2003 Timu ya Wapenzi Maarufu katia filamu za RP pamoja na John Lloyd Cruz na Guillermo Mendoza

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-30. Iliwekwa mnamo 2007-11-08.

Viungo Vya Nje

[hariri | hariri chanzo]