Nenda kwa yaliyomo

Bartolomeo Dias

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Bartolomeu Dias huko London, Uingereza.


Bartolomeu Dias (1451 hivi – 29 Mei 1500 [1]), sharifu wa ukoo wa kifalme wa Ureno, ni maarufu kama Mzungu wa kwanza kuzunguka bara la Afrika toka kaskazini magharibi hadi mashariki kwa Rasi ya Tumaini Jema (1488), akifungua njia ya kwenda India kupitia baharini.

  1. The Anonymous Narrative, page 61
  • Bartolomeu Dias (Ernst Georg Ravenstein, William Brooks Greenlee, Pero Vaz de Caminha) (2010)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bartolomeo Dias kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.