Barry Goldwater

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Barry Goldwater, 1962

Barry Goldwater (2 Januari, 190929 Mei, 1998) alikuwa mwanasiasa wa Marekani akiwa mwanachama wa Chama cha Jamhuri. Alikuwa mbunge wa Senati ya Marekani kuanzia 1953 hadi 1965 na tena kuanzia 1969 hadi 1987, akiwakilisha jimbo la Arizona. Mwaka wa 1964 aligombea urais lakini akashindwa na Rais Lyndon B. Johnson.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Barry Goldwater kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.