Ban Ki-moon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Bankimoon07052007.jpg

Ban Ki-moon (* 13 Juni 1944 mjini Eumseong katika Korea) ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa tangu 1 Januari 2007 akimfuata Kofi Annan.[1]

Ban aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya nje ya Korea Kusini kati ya 2004 hadi 2006. Tar. 13 Oktoba 2006 alichaguliwa na Mkutano Mkuu wa UM kuwa Katibu Mkuu.

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Ban alisoma katika Korea Kusini hadi digrii ya kwanza ya B.A. kwenye chuo kikuu cha Seoul (1970). 1985 aliongeza digrii ya uzamifu kutoka Chuo Kikuu cha Harvard (Marekani).

Familia[hariri | hariri chanzo]

Ban alioa na kuzaa mvulana mmoja na mabinti wawili. [2]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  1. Ban named next U.N. secretary-general. AP. Iliwekwa mnamo 2006-10-13.
  2. Biography of the Minister of Foreign Affairs and Trade. Republic of Korea - Ministry of Foreign Affairs and Trade. Iliwekwa mnamo 2006-09-29.