Baba Sy
Mandhari
Baba Sy (Donaye, Senegal, 1935 - Dakar, 20 Agosti 1978) alikuwa mchezaji wa bao wa Senegal na bingwa wa kwanza wa ulimwengu kutoka bara la Afrika.
Mnamo 1962, Ujerumani iliandaa mchezo mkubwa wa wachezaji bao. Sy alikuwa wa pekee kutoka Senegal, na Mwafrika Mweusi pekee. Alicheza dhidi ya mabingwa 150 kwa wakati mmoja, akikawia kwenye meza moja kwa sekunde chache tu kabla ya kwenda kwa nyingine.
Alifariki kwenye ajali ya barabarani kule Dakar. Alituzwa ubingwa wa ulimwengu akiwa ameshaaga dunia mnamo mwaka wa 1986.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Baba Sy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |