Azza Hilal Hamad
Mandhari
Azza Hilal Hamad (amezaliwa Mwamashele, 18 Oktoba 1975) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Elimu
[hariri | hariri chanzo]Alisoma Shule ya Msingi Tinde hadi mwaka 1988[2] na Shule ya Sekondari Kanawa.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 11 Mei 2017 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017
- ↑ Reyes Perea, Sebastian; Jimenez Restrepo, Julie Natalie, Costos de atención de triage IV y V en urgencias de un Hospital Universitario en Bogotá en el año 2019, Editorial Pontificia Universidad Javeriana, iliwekwa mnamo 2025-11-09
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Azza Hilal Hamad kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |