Nenda kwa yaliyomo

Ayman Aourir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ayman Aourir (alizaliwa 6 Oktoba 2004)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Moroko, ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Moroko kwa walio na umri chini ya miaka 17.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Ayman Aourir | Bayer 04 Leverkusen | Player Profile | Bundesliga". bundesliga.com - the official Bundesliga website (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ayman Aourir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.